Isaiah 50:6


6 aNiliwapa mgongo wangu wale wanipigao,
mashavu yangu wale wang’oao ndevu zangu;
sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha
na kutemewa mate.
Copyright information for SwhKC